Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo Juni 12, 2017 anapokea ripoti ya pili ya uchunguzi wa mchanga wa madini (Makanikia) uliyopo katika makontena bandarini Dar es salaam na sehemu nyingine nchini unaosafirishwa nje ya nchi.

Katika ripoti ya kwanza iliyowasilishwa Mei 24, 2017, Rais Magufuli alimwondoa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo na viongozi wa Wakala wa Serikali wa Ukaguzi wa Madini (TMAA). Tazama hapa Rais Magufuli akipokea ripoti ya pili leo.

Mtoto wa Gaddafi akwepa kifo Libya, asakwa na ICC
Video: Dude la IPTL lang'oa kigogo, Ripoti Makinikia kutikisa taifa leo