Tazama hapa moja kwa moja kutoka Mkoani Kilimanjaro katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), mapokezi ya watoto watatu wa shule ya Lucky Vicent ambao walinusurika katika ajali iliyotokea Mei 6, 2017 katika eneo la Lotya Arusha. Watoto hao ni Sadia Ismail, Dorene Mshana na Wilson Tarimo walikuwa wakitibiwa huko nchini Marekani. Tazama hapa

Nyota wa La Liga uso kwa uso na wa EPL tuzo za mchezaji bora
Video: Makonda aibua upya vita dawa za kulevya, Kitimtim mnada jengo la Yanga