Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yupo Mkoani Pwani kikazi ambapo leo Juni 22, 2017 anahitimisha ziara yake ya siku ya tatu na wakati huu anazindua daraja la Ruvu Chini na barabara ya Bagamoyo – Msata.

Rais Magufuli pia ameweka jiwe la Msingi katika Kiwanda cha Kusindika Matunda cha Sayona katika kijiji cha Mboga, Msoga wilayani Bagamoyo. Bofya hapa kutazama hapa moja kwa moja.

Salah Kusaini Miaka Mitano Liverpool
Dani Alves Kuvunja Mkataba Wake Juventus FC