Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 24, 2017 anapokea Taarifa ya Kamati Maalum aliyoiunda kuchunguza mchanga ulio katika makontena ya mchanga wa madini (Makinikia) yaliyopo katika maeneo mbalimbali hapa nchini Tanzania.

Tukio hilo limehudhuriwa na viongozi mbalimbali. Tazama moja kwa moja kutoka Ikulu Dar es salaam muda huu. Bofya hapa

?LIVE IKULU: Hotuba ya Rais Magufuli baada ya kupokea ripoti uchunguzi wa mchanga wa madini

Hatima ya Manchester United UEFA kujulikana leo
JPM afanya uteuzi mwingine TAMISEMI