Tazama hapa moja kwa moja kutoka Oysterbay jijini Dar es salaam, hafla fupi ya Jeshi la Polisi likipokea magari ya doria kwa ajili ya matengenezo ambapo magari hayo yatatumika kuimarisha doria sehemu mbali mbali hasa maeneo ambayo yamekuwa na matukio ya kiuhalifu.

Tazama hapa

Lowassa aeleza anachoamini ni mwarobaini wa wizi kwenye madini
?Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Juni 14, 2017