Kamati ya Kudumu ya Katiba na Sheria Bungeni, leo Julai 2, 2017 inaendelea na majadiliano ya kufanya Marekebisho ya Sheria Sita katika sekta ya Madini na Petroli. Marekebisho hayo ni kufuatia ripoti ya Kamati Maalumu ya uchunguzi wa Makinikia iliyoundwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kuchunguza mchanga wa madini uliokuwa ukisafirishwa kwenye makontena kwenda nje ya nchi.

Kikao hicho kinafanyika Jijini Dodoma katika ukumbi wa Pius Msekwa. Tazama hapa moja kwa moja muda huu

 

Aliyekuwa Waziri Mkuu Israel, Olmert aachiliwa huru kutoka gerezani
Ushindi wa Horn kwa Pacquiao wapingwa vikali, Takwimu zaonesha tofauti