Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewasili Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kuelekea uzinduzi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga. Bofya hapa kutazama moja kwa moja kutoka Muheza mkoani Tanga muda huu Rais akiongea na wananchi

Kilichomkuta mchungaji aliyefumaniwa na mke wa mtu
Video: Naj wa Baraka the Prince atimba na 'Utanielewa'