Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli yupo Mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo leo Julai 4, 2017 anazindua mradi wa maji safi Sengerema mkoani humo.

Tazama hapa moja kwa moja muda huu Rais Dkt. Magufuli akizindua mradi huo

Video: Pacquiao awageukia majaji , "nahisi nilifanyiwa njama"
Kinamchomkuta mwanamke mkufunzi wa magaidi wa ISIS anayeililia Uingereza…