Hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya ilikamilishwa usiku wa kuamkia hii leo katika viwanja vinane tofauti, kwa kushuhudia michezo ya kundi la tano hadi la nane.
Baadhi ya matokeo ya michezo hiyo, yamatoa majibu ya timu zilizomaliza katika nafasi ya kwanza na ya pili katika makundi hayo na kukamilisha idadi ya timu 16 zitakazocheza hatua ya mtoano.
Matokeo ya michezo ya mwisho ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya iliyochezwa usiku wa kuamkia leo.
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi la 5
Bayer 04 Leverkusen 3-0 Monaco
Tottenham Hotspur 3-1 CSKA Moscow
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi la 6
Legia Warsaw 1-0 Sporting Lisbon
Real Madrid 2-2 Borussia Dortmund
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi la 7
Club Brugge 0-2 FC Copenhagen
FC Porto 5-0 Leicester City
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi la 8
Juventus 2-0 Dinamo Zagreb
Lyon 0-0 Sevilla