Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiweka shada la Maua kwenye  kaburi la  Linah George Mwakyembe, mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe katika mazishi yaliyofanyika Kyela Julai 19, 2017

Choke Abeid Aachwa Huru
Waziri Mkuu Majaliwa na mkewe wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu