Shirikisho  la Soka Tanzania (TFF) limepitisha marefa 82 kuchezesha Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2018/2019.
Katika orodha hiyo wapo waamuzi wa katikati 30,Waamuzi wasaidizi 46 na Waamuzi 6 wa akiba.
Waamuzi hao ndio watakaokuwa na jukumu la kucheza mechi zote za Ligi Kuu katika msimu husika.
Uteuzi huo umefanyika baada ya mtihani wa vipimo kwa waamuzi hao uliofanyika jijini Dar es Salaam mapema mwezi huu.
Waamuzi waliopitishwa ni pamoja na Athuman Selukala (Arusha), Erick Onoka (Arusha), Alex Magayi (Dar es Salaam), Elly Sasii (Dar es Salaam), Isihaka Mwalile (Dar es Salaam), Israel Nkongo (Dar es Salaam), Mbaraka Rashid (Dar es Salaam), Nadim Aloyce Leonard (Dar es Salaam) na Liston Hiyari (Dar es Salaam).
Wengine ni Florentina Zabron (Dodoma), Ally Simba (Geita), Amada Simba (Kagera),Jonesia  Rukyaa (Kagera), Hussein Athumani (Katavi), Shomari Lawi (Kigoma), Alfred Vitares (Kilimanjaro), Jacob Adongo (Mara) na Benedict Magai (Mbeya).
Wengine ni Athumani Lazi, (Morogoro), Fikiri Yussuf (Morogoro), Martin Saanya (Morogoro), Abubakar Mturo (Mtwara), Daniel Warioba (Mwanza), Emmanuel Mwandembwa (Mwanza), Ludovick Charles (Mwanza), Ahmad Seif Mbaraka (Pwani), Nassoro Mwinchui (Pwani), Jimmy Fanuel (Shinyanga), Meshack Suda (Singida) na Hance  Mabena wa Tanga.
WAAMUZI WASAIDIZI LIGI KUU TANZANIA BARA 2018/19
1.Agnes Pantaleo (Arusha) 2. Abdallah Uhako (Arusha) 3.Gasper Keto (Arusha) 4. Frank Komba (Dar es Salaam) 5. Germina Simon (Dar es Salaam) 6. Hamis Changwalu (Dar es Salaam) 7. Helen Mduma (Dar es Salaam) 8. Iddi Mikongoti (Dar es Salaam) 9. Kassim Mpanga (Dar es Salaam) 10. Lulu Mushi (Dar es Salaam)
11. Omary Kambangwa (Dar es Salaam) 12. Shaffi Mohamed (Dar es Salaam) 13. Soud Lilla (Dar es Salaam) 14. Charles Simon (Dodoma) 15. Godfrey Msakila (Geita) 16. Janet Balama (Iringa) 17. Rashid Zongo (Iringa) 18. Edger Lyombo (Kagera) 19. Grace Wamala (Kagera) 20. Jamada Ahmada (Kagera)
21. Athuman Rajab (Kigoma) 22. Sudi Hussein (Kigoma) 23. Sylvester Mwanga (Kilimanjaro) 24. Leonard Mkumbo (Manyara) 25. Robert Ruemeja (Mara) 26. John Kanyenye (Mbeya) 27. Mashaka Mandembwa (Mbeya) 28. Jesse Erasmo (Morogoro) 29. Nickolas Makaranga (Morogoro) 30. Consolata Lazaro (Mwanza)
31. Frednand Chacha (Mwanza) 32. Josephat Masija (Mwanza) 33. Michael Mkongwa (Njombe) 34. Abdalah Rashid (Pwani) 35. Kasim Safisha (Pwani) 36. Khalfani Sika (Pwani) 37. Japhet Kasiliwa (Rukwa) 38. Joseph Pombe (Shinyanga) 39. Julius Kasitu (Shinyanga) 40. Makame Mdogo (Shinyanga)
41. Anold Bugardo (Singida) 42. Justina Charles (Tabora) 43. Martin Mwaliaje (Tabora) 44. Nestory Livangala (Tabora) 45. Haji Mwarukuta (Tanga) 46. Mohamed Mkono (Tanga)
WAAMUZI WA AKIBA 2018/19

1. Steven Daudi Makuka (Iringa) 2. Ahmadi Benard Augustino( Mara) 3. Ally Mkonge (Mtwara) 4. Abdallah Kambuzi (Shinyanga) 5. Shabani Msangi (Singida) 6. Omary Mdoe (Tanga).

Habari Picha: Marais Wastaafu kuungana Rais Dkt. Magufuli kwenye mazishi
Polisi wajipanga kuhakikisha usalama siku ya Sikukuu ya Eid el Hajj