Mtu mmoja amefariki na wawili wamejeruhiwa baada ya gari ya abiria kugonga treni eneo la Tanesco Morogoro.

Akidhibitisha tukio hilo Mganga Mkuu wa Hospitali, Frank Jacob amesema kwamba ajali hiyo imetokea leo asubuhi, ambapo gari hilo lililokuwa limebeba wanafunzi lilipata ajali eneo la Masika baada ya kugonga treni na kuburuzwa umbali wa takriban mita 50 toka yalipo makutano ya reli na barabara.

Vita ya Syria yazidi kuangamiza mamia ya raia
Ratiba Ya ELC Mzunguuko Wa Tatu Hadharani