Tumepokea taarifa za ajali ya Basi kampuni ya Kapricon ambayo imetokea hii leo Ijumaa ya Novemba 18, 2022 eneo la Hedaru Mkoani Kilimanjaro na tunaendelea kufuatilia taarifa hii kwa ukaribu zaidi ili kukupa undani wa tukio.

Hali ilivyokuwa baada ya ajali.

Ndege za Kijeshi zatumika kupambana na waasi

Basi hilo linavyoonekana.
Bado haijafahamika chanzo cha ajali na iwapo kuna vifo na majeruhi.
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Novemba 19, 2022
Zungu avunja Baraza Wafanyakazi Ofisi ya Bunge