Kwa muhtasari:

Nafasi: Mtangazaji, muandaaji wa habari (TV) – Nafasi 2

Elimu:  Kuanzia ‘Diploma’ ya uandishi wa habari na utangazaji

Jinsi ya kuomba: Tuma Wasifu (CV) na DEMO ya Video, kupitia barua pepe: dar24fursa@gmail.com  rukhsa kutuma video-demo zilizorekodiwa kwa simu.

Mwisho wa kupokea maombi: Agosti 10, 2020

Wanawake wanahamasishwa kuomba.

Ofisi ziko Mikocheni B, Dar es Salaam.

Simu: +255 679 979 786

Pakua kiambatishi hapa chini kusoma tangazo na kuomba:

Makonda'' nimekamilisha safari yangu ya ukuu wa mkoa''
Young Africans wamkana "Sureboy"