Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga Siriel Mchembe, ameagiza hatua kali na za haraka zichukuliwe kwa kijana aliyejulikama kwa jina la Malick Apolonary (20) aliyekutwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Chanika.

Dc Mchembe amesema kuwa mtuhumiwa huyo achukuliwe hatua za kisheria kwakuwa ushahidi na amekamtwa katika eneo la tukio


“Tukio la kijana Malick aliyekutwa akimbaka mwanafunzi mwenye umri wa miaka 10, ni tukio la wazi, ushahidi upo na amekamatwa eneo la tukio. Jambo hili limeniumiza kama mama na kama Mkuu wa Wilaya, na hata Rais Samia Suluhu jambo hili litamuumiza pia” amesema DC Mchembe

Naibu Mahundi aagiza Fundi msimamizi wa mradi wa maji Babati kuondolewa
Mo Dewji ampotezea Haji Manara