Msanii wa filamu na maigizo Tanzania, Aunt Ezekiel ambaye pia ni mama mtoto wa dansa kutoka kundi la WCB, Wasafi Moses Iyobo, baada ya kimya kirefu kutoka kwa wawili hao Auntezekiel ameamua kuja na hii iliyoibua hisia za mashabiki wa wapenzi hao.

Ambapo Kupitia ukurasa wa Instagram wa mwanamama Aunt Ezekiel ameandika.

”Sina kawaida ya kuweka Maisha yangu kwenye Mitandao ili tunakoenda, Dah wanaume!!” amemaliza hivyo.

Ambapo mashabiki wake kupitia posti hiyo wamemjia juu Moses Iyobo na kumtia moyo Auntezekiel kwa hayo anayoyapitia, wakimsihi amwamini Mungu pekee katika daraja hilo analopitia.

Hata hivyo wapo ambao wamelaani kitendo hiko wakidai kuwa ni namna ya kutafuta kiki kama ilivyozoeleka kwa wasanii wengine hasa kutoka katika kundi hilo kubwa la mzuiki Tanzania na nje ya nchi.

Nabii Tito ashikiliwa na Polisi
Salum Mwalimu: Hakuna wa kunikataza kuongea jambo lolote