Kocha Mpya wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mnigeria Emmanuel Amunike ametaja kikosi cha Wachezaji 25 kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Uganda Septemba 8, mwaka huu mjini Kampala.
Akitaja wachezaji hao mbele ya Waandishi wa habari Leo jijini Dar es salaam amemuita kipa wa Yanga,Benno Kakolanya na kumuacha Ramadhani Kabwili na Ibrahim Ajibu kikosi hicho kama ifuatavyo:

Magolikipa:
1-Aishi Manula (Simba)
2-Mohamed Abdilrahman (JKU)
3-Benno Kakolanya (Yanga)

Mabeki:
4-Shomary Kapombe (Simba)
5-Hassan Kessy (Nkana, Zambia)
6-Gadiel Michael (Yanga)
7-Kelvin Yondani (Yanga)
8-Abdi Banda (Baroka, Afrika Kusinil)
9-Erasto Nyoni (Simba)
10-Agrey Morris (Azam)
11-Andrew Vicent Dante (Yanga)

Viungo :
12-Himid Mao (Pertojet, Misri)
13-Jonas Mkude (Simba)
14-Mudathir Yahya (Azam)
15-Feisal Salum Fei toto (Yanga)
16-Hassan Dilunga (Simba)

Winga:
17-Shiza Kichuya (Simba)
18-Saimon Msuva (El Jadidi, Morocco)
19-Farid Mussa (CD Tenerife, Hispania)

Washambuliaji
20-Mbwana Samata (Genk, Ubelgiji)
21-Jonh Bocco (Simba)
22-Thomas Ulimwengu (A Hilal, Sudani)
23-Rashid Mandawa (BDF XI, Botswana)
24-Yahya Zayd (Azam)
25-Shaban Chilunda (CD Tenerife, Hispania)

Polisi wajipanga kuhakikisha usalama siku ya Sikukuu ya Eid el Hajj
Bobi Wine kutetewa na mawakili 24