Chama tawala cha Afrika Kusini ANC kimeanza maadhimisho ya kumbukumbu za miaka mia moja tangu kuzaliwa kwa Raisi wa kwanza mweusi nchini humo shujaa, Nelson mandela

Aidha, Kiongozi wa sasa wa ANC, Cyril Ramaphosa anatarajiwa kuhutubia katika viwanja vya Freedom square mjini Cape Town, ambako marehemu Mandela alitoa hotuba yake ya kwanza baada ya kuachiliwa huru kutoka gerezani miaka ishirini na nane iliyopita.

 

Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti kujenga makao makuu
Wagonjwa wanusurika kuteketea kwa moto

Comments

comments