Beyonce ameachia kwa kushtukiza video ya wimbo wake mpya ‘Formation’, video ambayo ni ya kwanza kutoka kwake tangu alipoachia album yake ya ‘Beyonce’.

Tayari mwimbaji huyo ameshatangaza ziara ya dunia aliyoipa jina la ‘Formation World Tour’ itakayoanza April 17 nchini Marekani. Ulaya waataionja ladha ya ‘Formation Tour’ kuanzia June 28.

Iangalie hapa:

Rushwa ya Kuku yamtumbua Mtumishi wa Umma
Obama alia na tatizo la mtandao ndani ya 'White House'