Meneja wa kutoka nchini Italia Antonio Conte ametangazwa kuwa Mkuu wa Benchi la Ufundi la Klabu ya Tottenham Hotspurs.

Conte anarejea England, baada ya miaka mitatu kupita, ambapo kwa mara ya mwisho alikua akihudumu kwenye klabu ya Chelsea aliyoipa ubingwa wa England msimu wa 2016/17.

Leo Jumanne (Novemba 02) taarifa kutoka Spurs imethibisha kuajiriwa kwa Conte kwa mkataba wa miezi (Mwaka mmoja na nusu).

Habari Picha: Rais Samia akihutubia Scotland
Chuku: Tunajua mashabiki wanachokitaka