Mzunguuko wa nne wa ligi ya mabingwa barani Ulaya hatua ya makundi uliunguruma usiku wa kuamkia hii leo kwa michezo 16 kuchezwa katika makundi manne tofauti.
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La A
Basel 1-2 Paris St
Ludo Razgd 2-3 Arsenal
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La B
Besiktas 1-1 Napoli
Benfica 1-0 Dynamo Kiev
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La C
Bor Monchengladbach 1-1 Celtic
Man City 3-1 Barcelona
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La D
Atl Madrid 2-1 FC Rostov
PSV Eindhoven 1-2 Bayern Mun
Michezo mingine ya mzunguko wa nne ya michuano hiyo itachezwa hii leo kwa kuhusisha makundi mengine manne ambapo:
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La E
Monaco v CSKA
Tottenham v Bayer Levkn
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La F
Bor Dortmd v Sporting
Legia War v Real Madrid
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La G
FC Copenhagen Vs Leicester
FC Porto v Club Brugge
UEFA CHAMPIONS LEAGUE – Kundi La H
Juventus v Lyon
Sevilla v Dinamo Zagreb