Klabu ya Arsenal, hii leo itaanza kampeni za kusaka ubingwa wa barani Ulaya kwa kucheza mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya mabingwa wa soka nchini Croatia Dinamo Zagreb katika uwanja wa Maksimir uliopo mjini Zagreb.
Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amekuwa akikosolewa kwa kushindwa kununua mshambuliaji mpya, lakini anasema kuwa anakiamini kikosi chake na kwamba Theo Walcott ndio jibu la safu yake ya mashambulizi.
Pia amesema kuwa ni muhimu kwa kikosi chake kutoshindwa katika mechi ya kwanza ya michuano hiyo nchini Croatia.
Michezo mingine ya ligi ya mabingwa barani Ulaya itakayochezwa hii leo.
Champions League – Group E
Bayer Leverkusen Vs BATE Borisov
Roma Vs FC Barcelona
Champions League – Group F
Dinamo Zagreb Vs Arsenal
Olympiakos Vs Bayern Munich
Champions League – Group G
Chelsea Vs Maccabi Tel Aviv
Dynamo Kyiv Vs FC Porto
Champions League – Group H
Gent Vs Lyon
Valencia Vs Zenit St. Petersburg