Wema Sepetu ametoa ya moyoni kuhusu mashabiki wake wanaomsapoti katika mitandao ya kijamii (team Wema), akana kuwafahamu, amelalamika wao ni chanzo cha kumuaribia maisha na kukosa amani na uhuru katika maisha yake haelewi team wema wametokea wapi maana wengi wao ni wanafiki.

”Ni bora niishi peke yangu kuliko kuwa na watu ambao ni wanafiki, kama mnapenda mkamsapoti Idrisi sio mimi, sitaki kusikia team Wema” – Wema Sepetu.

Young Africans Watofautiana Na TFF
Tanzania yaongoza duniani kutoa huduma za fedha kupitia simu