#Regrann from #auntyezekiel – Naitwa Aunty Ezekiel Grayson jujuman Ukipenda …Mama Cookie Mnyakyusa hasilia …Sasa bac Nataka niwaambie kitu kimoja mana kujibu mmoja mmoja Muda huo sina ni hv Nafanya ntakalo sifanyi Mtakayo mana nina uhakika nyie mnaokaa kubishana na mm vibanda vya mbavu za zaMmbwa zinawashinda so muda mnaokaa mkafatilia yangu mngeenda tafuta lakufanya ….Oooh njaa Yes I say tena Yes mana mnataka nibadili Red kuwa Yellow kwani yule c ni boss wa mkata viuno wang au!!!Sasa kama ni boss ulitaka nibishe niseme mm ndio Boss bac nifungue band yetu acheze!!!Mnawazimu nn na Namuheshimu kama Mshkaji rafiki boss wa bwanaangu na siwezi acha kushirikiana na Familia yake eti kisa Ushuzi mtasema nn…Sitaki kutaja majina ya watu ila kilichopo ndio ukweli asilia Mama Tee ndio mwanamke na Mama watoto wa Nasibu no way hata tulambe rami kubadili ni ngumu Ila mwenyewe akibadili bac na Sisi tutabadili ila kwa sasa ni Mama tee Shukrani gud Day #msaliti kulingana na wakati eti umemuacha mumeo jela mlitaka nikagongane nae jela Au nikae miaka 20 akitoka nina miaka 50 nazaa lini nalea lini nakufa lini Wapuuzi nn msinichefue mie msitake niongee yasiyowahusu…Mnanitoa Povu kama mmenilaza kwenye sabuni ya Unga

 

Serge Aurier Kutumikia Kifungo Jela
Akiri mahakamani kufanya mauaji yaliyomfunga jela pacha wake kwa kufananishwa