Watu wawili ambao ni Baba na Mwanaye waliopatikana na hatia ya kumuua mtu mmoja Ahmaud Arbery, wamehukumiwa tena kifungo cha maisha jela, kwa makosa ya uhalifu wa chuki huku wengine watatu wakihukumiwa miaka 35.

Travis McMichael, na baba yake, Gregory McMichael wanadaiwa kutekeleza mauaji hayo katika eneo ambalo halikuainishwa nchini Uingereza, ambapo walishitakiwa na Serikali baada ya kukamatwa na Polisi.

Arbery, Mtu mweusi mwenye umri wa miaka 25 aliuawa wakati alipokuwa akikimbia akifanya mazoezi, ambapo watu hao walimvamia na kisha kumuuwa kwasababu zinatotajwa kuwa ni za kibaguzi.

Ripoti ya Polisi jijini London, imemesema watu hao pia waliwasakama mamia ya watoto, katika idadi isiyo na uwiano kati yao wakiwa Weusi wakiwemo, katika kipindi cha miaka mitatu bila kugundulika.

Mauaji ya raia wesui katika nchi za Ughaibuni yamekuwa yakitukia mara kwa mara kwa kuhusishwa na ubaguzi wa rangi kitu ambacho kimekuwa kikipigiwa kelel na mataifa mengi ulimwenguni lakini hata hivyo utekelezaji wake umekuwa ni changamoto.

NHC yakusudia kumwaga ajira kwa Watanzania
Marekani kutumia mabilioni misaada ya Ukraine