Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine anaongoza ujumbe wa Tanzania katika maandalizi ya Mkutano wa Kawaida wa 42 wa Wakuu wa nchi na Serikali.

Mkutano huo wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, unatarajia kufanyika Agosti 17-18, 2022 Jijini Kishansa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine.
Baadhi ya Wajumbe wakiwa katika maandalizi ya Mkutano wa Kawaida wa 42 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC.
Kenya: Wasiokubali matokeo waende Mahakamani
Muliro: Marufuku mashabiki kwenda na silaha kwa Mkapa