Baraza la Wazee la Simba SC limewahimiza wanachama wa klabu hiyo kujitokeza kwa wingi katika mkutano wa kubadilisha Katiba Jumapili ya Desemba 11, mwaka huu ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam.

Hata hivyo, mkutano huo umepingwa na Baraza la Wadhamini la klabu, lililoelekeza taratibu kadhaa zifuatwe kwanza, ikiwemo uhakiki wa wanachama chini ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT).

Wazambia Kuipima Simba SC
Martin Saanya Na Wenzake Wawekwa Pembeni