Mchezaji Victor Lindelof amewasili katika uwanja wa mazoezi wa Manchester United, Aon Carrington tayari kwa kufanyiwa vipimo vya afya.

Mchezaji huyo raia wa Sweden alikuwa akiichezea klabu ya  Benfica na atakuwa rasmi mchezaji wa Man Utd baada yakukamilisha uhamisho uliogarimu Man U kiasi cha paundi miioni 30.

Victor Lindelof akiendeshwa kwenye gari alipowasili uwanja wa mazoezi wa Carrington.

Comments

comments