Rais wa Marekani, Joe Biden amesaini amri kubatilisha amri ya Rais aliyeondoka Madarakani, Donald Trump na kuirejesha Marekani kwenye Shirika la Afya Dunianini (WHO).

Amebatilisha amri hiyo muda mchache baada ya kuapishwa huku akisema Raia wa Marekani watakuwa imara endapo Marekani itashiriki kuimarisha Afya ya Dunia nzima.

Tayari Trump ameirudisha Marekani kwenye Mkataba wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa na ameamua kufuta marufuku ya kusafiri kwa nchi kadhaa za Waislamu

Tanzia: Mbunge wa viti maalum afariki dunia
Emiliano Buendía kurithi mikoba ya Mesut Ozil