Mwaka 2016 ulikuwa na mafanikio makubwa kwa Tekno. Hit yake Pana ilifika katika level ambazo nyimbo zake hazijawahi kufika ikiwa ni pamoja na kuwadatisha mastaa kibao wa Marekani wakiwemo Trey Songz, Ludacris na wengine.

Na sasa mtandao wa Billboard, umemtaja msanii huyo wa Nigeria miongoni wa wasanii 10 Duniani wa kuwaangalia mwaka 2017

Bosi ndege za Serikali afariki dunia
Mwanafunzi wa Sekondari auawa kwa risasi