Kumekupo hadithi nyingi zikiwahusisha wasanii wawili wanaofanya muziki wa bongo fleva kuwa wanatoka kimapenzi huku wenyewe wakikanusha na kudai ni marafiki wa kawaida amba ni Linah Sanga pamoja na Billnass kutoka lembo ya LFLG.

Billnass na linah ni  washkaji kama jinsi ambavyo wao wanasema lakini bado kwenye macho ya watu wanasemekana eti ni wapenzi, tusubiri tutaujua ukweli.

linnah

Wiki kadhaa zilizopita Mwanadada Linah Sanga alikaririwa akitaja sifa za mwanaume ambaye angehitaji kuzaa nae  watu wenye kujua tafsiri ya haya mambo wakapata jibu moja kwa moja eti sifa tajwa ni za mwana Hip Hop Darasa kutoka CMG

Swali linakuja hapa kama lina na Billnass ni wapenzi je anafaa  kuwa mke wa bwana Billnenga kutokana na sifa hizi ambazo amezitaja?

”awe na hofu ya mungu, ili kama akinisaliti ajue hanisaliti mimi bali pia anamkosea mungu kwa kuzini, aipende familia yangu yote jinsi ilivyo,awe na haiba au aibu, lakini pia awe muelewa na aheshimu kazi yangu”ametaja sifa hizo billnass.

Aidha Billnass ameiambia mtembezi.com kwamba kama hajui lina kama ana sifa hizo tajwa kwani hajawai kumchunguza lakini sifa ya uelewa anayo kwani anaiona katika ushkaji wao.

Video: Jeshi la Polisi Latangaza Balaa kwa Wenye Vyeti Feki.
Tanzia: Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki auawa