Waziri wa Madini Dotto Biteko akesema hawezi kukubali mji mdogo wa Mirerani uliopo Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, ufanywe shamba la bibi ambalo watu huchuma na kuondoka.

Amesema hayo wakati akizungumza na wanunuzi na wafanyabiashara wa Tanzanite ambapo amesema kuwa Serikali imetoa agizo la biashara ya madini kufanyaka Mirerani hivyo kurudisha soko liwe arusha haitawezekana.

”Mirerani sio shamba la bibi mtu anavuna anaondoka na kuiacha patupu kama miundombinu ni changamoto itatatuliwa, hata Geita awali madini yalipelekwa Mwanz” amesema Biteko

Aidha amesema kuwa Serikali ilitoa agizo la biashara

Diamond atajwa vipengele 6 tuzo za Afrima
Habari kubwa kwenye magazeti leo, Septemba 26, 2021