Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kurushiana makonde na Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ Maokola anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa atakaozipiga na Joseph Sinkala march 12 katika ukumbi wa Dar live katikati ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘super D’Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akielekezwa jinsi ya kupiga ngumi kali za mkunjo wa chini ‘upcut’  na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘super D’  jana wakati wa kujiandaa na mpambano wake na Joseph Sinkala march 12 mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Dar Live Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mkanganyiko Wa Habari Za Mrithi Wa Louis Van Gaal Old Traffold
Salim Mbonde Asisitiza Kiu Ya Ubingwa Wa Tanzania Bara 2015-16