Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia hivi punde Hoteli ya Villa de Coco iliyopo Jambiani, Zanzibar imeungua kwa moto usiku huu.

sehemu ya hotel ya Villa de Coco iliyowaka moto

Dar24Media itaendelea kukujuza taarifa hii kwa undani zaidi endelea kutembelea mitandao yetu ya kijamii Facebook Twitter pamoja na instagram.

Habari kubwa kwenye magazeti ya leo Novemba 20, 2021