Aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Edward Lowasa amerudi katika Chama chake cha zamani, Chama Cha Mapinduzi (CCM) akitokea CHADEMA, Lowassa alihama CCM na kujiunga na CHADEMA mwaka 2015.

Ndugu zangu kama alivyozungumza Lowassa ametumia maneno mafupi amerudi nyumbani na nyumbani ni hapa CCM, ndio maana amesimama kwenye jengo la Makao Makuu Ofisi ndogo ya CCM,” amesema Rais Magufuli

Mwili wa marehemu Ruge Mutahaba wapokelewa jijini Dar
CCM Njombe yaomba radhi kuhusu mauaji ya watoto

Comments

comments