Mbunge wa Jimbo la Dimani, Zanzibar, Hafidh Ali Tahir amefariki dunia asubuhi ya leo Novemba 11, 2016 katika Hospitali ya mkoa wa Dodoma. Taarifa hiyo imedhibitishwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai Bungeni Dodoma ambapo amesema kuwa mwili wa marehemu utaagwa leo na kupelekwa Zanzibar kwa mazishi

Tanzia: Mbunge Hafidh Ali wa Jimbo la Dimani afariki dunia
Argentina Yaangukia Kidevu Belo Horizonte-Brazil