Moto mkubwa umezuka na kuteketeza kiwanda cha Matairi ya Pikipiki kilichopo maeneo ya Mikocheni Industrial Area karibu na chuo kikuu cha Tumaini

Hadi sasa taarifa zimeeleza kuwa kuwa sehemu inayoendelea kuungua ni sehemu zilipohifadhiwa tairi za pikipiki, mipira ya ndani pamoja na pikipiki ambazo hazina matairi na hadi sasa jeshi la zimamoto halijafanikiwa kuzima moto huku juhudi za kuzima moto huo mkubwa zikiendelea.

Video: Mwili wa Samuel Sitta wawasili Dar es salaam
Jose Fonte: Sina Mpango Na Man Utd