kwa mujibu wa taarifa zilizotufukia hivi punde Soko la Manzese lilipo Tunduma, Mpakani mwa Tanzania na Zambia mkoani Songwe limewaka moto asubuhi ya leo Novemba 16, 2021

Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia Dar 24 Media…

Ayoub Lyanga kufanyiwa upasuaji leo Afrika kusini
Sekoe Toure yaanzisha kambi za huduma uchunguzi wa Kibingwa