Habari kwa ufupi, Umoja wa Mataifa (UN),  umetoa taarifa kuwa zaidi ya wahamiaji haramu 90 wahofia kufariki dunia katika pwani ya Libya baada ya kupinduka na boti walilokuwa wanasafiria.

Hata hivyo taarifa iliyotolewa na Umoja wa Mataifa inasema kuwa ni watu watuta tu inasadikika kuwa wamepona katika ajali hiyo.

Ambapo boti hiyo inasemekana kubeba wahamiaji wengi kutoka Pakistani.

Endelea kufuatilia zaidi Dar24.com, tukiendelea kukujuza yaliyojiri.

 

 

Serikali kutoa chanjo ya Saratani ya Shingo ya kizazi
Mtoto wa Fidel Castro ajiua