Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu (Chadema), amefariki dunia leo Jumapili Agosti 26, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), alikokuwa akipatiwa matibabu.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Wateja, Aminiel Aligaesha, amethibitisha.

Endelea kubakia nasi kwa taarifa zaidi.

Dar24 Media tunatoa pole kwa Mbunge Mbilinyi na familia kwa ujumla, pamoja na watanzania wote. Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu.

Waziri Mkuu amjulia hali Waziri Kigwangalla
JNIA yapiga marufuku wagonjwa wa Ebola kuingia nchini