Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo April 4, 2021 amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara, Manaibu wao na Wakuu wa Taasisi mbalimbali za Serikali.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Aprili 5, 2021
TCRA: Vifurushi vya zamani vitarejea ndani ya siku 4