Shirikisho la Soka Afrika (Caf) limeipanga Yanga kuanza na Cercle de Joachim ya Mauritius katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Yanga ndiyo mabingwa wa Tanzania na wawakilishi katika Ligi ya Mabingwa ambayo ni michuano mikubwa zaidi kwa ngazi ya klabu.
Kwa mujibu wa ratiba ya Caf, iwapo Yanga itaishinda timu hiyo ya Mauritius, itakutana na mshindi kati ya Mbabane Swallows ya Swaziland na APR ya Rwanda.

Lowassa: Nimeporwa...!
Jose Mourinho Na Matarajio Ya Kuvuka Daraja Lililo Mbali