Mwanamitindo na model maarufu Tanzania Calisa ameibuka kidedea  katika mashindano ya kumtafuta Mr. Afrika yaliyo jumuisha nchi mbalimbali za Afrika na kuibuka kidedea

Shindano hilo linalojulikana kama Mister Africa International ambapo fainali yake ilifanyika Lagos nchini Nigeria wiki iliyopita na kushirikisha washiriki kutoka nchi za Afrika Kama vile Lesotho, Nigeria, Ghana, Cameroon na nyinginezo.

Aidha Calisa ambaye amekuwa akishiriki mashindano mengi ya fashion ameweza kuchukua ushindi na kuwabwaga wenzake wengi ambapo ameweza kuwakilisha na kuitangaza nchi vizuri.

 

 

Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Desemba 5, 2018
Anthony Joshua awapa Tyson na Wilder wanachokitaka

Comments

comments