Wawakilishi wa bara la Afrika timu ya taifa ya Cameroon imeshindwa kutamba mbele ya wababe wa Amerika ya kusini timu ya taifa ya Chile baada ya kujikuta ikipokea kipigo cha mabao 2-0.

Katika mchezo huo wa kundi B wa kombe la mabara timu ya taifa ya Chile ilitawala mchezo huo, na katika dakika za mwisho za mchezo huo Artulo Vidal aliifungia bao la kwannza timu ya Chile dakika ya 82 kabla ya Eduardo Vargas kufunga bao la pili dakika ya 90.

 

Florentino Perez Apeta Real Madrid
🔴Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Juni 19, 2017

Comments

comments