Chama Cha Mapinduzi CCM kimefanya uteuzi wa makatibu wa mikoa 32, waliobaki vituo vyao vya kazi ni 10, waliopangiwa vituo vipya ni 12 na wapya ni 9

Aidha amewapongezamakatibu wa wilaya ni 168 ambapo waliopangiwa vituo vipya ni 67, waliobaki kwenye vituo vyao vya kazi ni 45 na wapya ni 56.

Katika uteuzi uliofanyika wanawake ni 67 sawa na asilimia 33.5 na wanaume ni 133 sawa na asilimia 66.5.

Ramos haondoki Paris Saint-Germain
Bima ya afya kwa wote kuelekea miaka 60 ya Uhuru Tanzania