Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Hifadhi ya eneo la Ngorongoro

Jenerali Mabeyo amestaafu rasmi Juni 30 ambapo katika nafasi yake ya Ukuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania ameteuliwa na kuapishwa Jenerali Jacob John Mkunda.

Habari kuu kwenye magazeti ya leo July 1, 2022   
Azam FC yaanza kutambulisha vifaa, tajiri aahidi mazito