Akaunti hiyo ilidukuliwa na watu wenye nia ovu, usiku wa kuamkia jumamosi mei 21,2022 na baadae kufutwa kwa muda kwenye mtandao huo.

Baada ya jitihada za wataalamu wa Dar24 Media hatimaye chaneli hiyo imerudi kama ilivyokuwa awali.

Na sasa unaweza kuendelea kufurahia vipindi mbalimbali vya Dar24 Media kupitia YouTube, vitakavyoanza kupanda mfululizo kuanzia leo mei 24,2022

Bonyeza “Subscribe” ili uwe wa kwanza kufikiwa na vipindi hivi.

Ahsante kwa kuendelea kutuamini na kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii.

Afa maji akishindania sh. 4000 kwa kuogelea
Halmashauri zaonywa kutoa mikopo kwa vikundi hewa