Idara ya Chanjo na Uchanjaji Mkoani Tabora inaendelea na zoezi la utoaji wa Chanjo ya Ugonjwa wa Surua kwa Watoto walio na umri chini ya miaka mitano, zoezi lililoanza Machi 23, 2023 likilenga kuchanja Watoto 184,484.

Kwa mujibu wa Afisa Afya Mkoa wa Tabora, Hamza Maulidi amesema hadi kufikia sasa jumla ya Watoto 25000 wamepatiwa chanjo hiyo, ambapo ameongeza kuwa Halmashauri ya Kaliua na Igunga ndizo zinazoongoza kuwa na mlipuko zaidi wa dalili za Ugonjwa huo.

Wazito wa Young Africans watua kibabe Lubumbashi
Wizara yataka kasi utoaji chanjo watoto chini ya miaka mitano