Klabu ya soka ya Chelsea imepata ushindi wa goli 3-2 dhidi ya Klabu ya Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu nchini Uingereza.

Chelsea inafikisha alama 60 baada ya michezo 33 na kubaki nafasi ya 5 huku Southampton ikibaki na alama 28 katika nafasi ya18

Hata hivyo, Southampton ndio ilikuwa ya kwanza kupata magoli yake kupitia kwa D. Tadic (21′) na J. Bednarek(60′). huku Chelsea ikipata ushindi kupitia magoli ya O. Giroud aliyetokea benchi (70′ na 79′) na E. Hazard(75′),

10 Watiwa mbaroni kwa kuhamasisha maandamano
Mapadre 3 wafariki dunia ndani ya saa 72

Comments

comments