Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, Daniel Chongolo ametaka migogoro ya wakulima na wafugaji mkoani Morogoro ifikie tamati.

Chongolo ameyasema hayo mara baada ya kuwasili wilayani Gairo, katika ziara yake ya kikazi ya siku tisa mkoani humo ya kuzungukia maeneo mbalimbali kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa Daniel Chongolo (Katikati).

Amesema, si sawa makundi hayo mawili kuendelea kugombea ardhi, huku viongozi wa ngazi za vijiji na kata wapo bila kuchukua hatua stahiki.

Ziara hiyo ya siku tisa mkoani Morogoro, Chongolo ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema.

Randy Bangala mambo safi Dodoma Jiji
Polisi sita wauawa na majambazi, taharuki yatanda